Kiswahili · Kidato 1
Fanya quiz ya KiswahiliMaswali 45 yanapatikana
1
Mada kuu ya kwanza 1…MADA KUU YA KWANZA 1: MAWASILIANO MAWASILIANO Mawasiliano ni nini? Mawasiliano ni kitendo cha kubadilishana habari au taarifa baina ya watu wawili…Dakika 5 za kusoma
2Mada kuu ya pili ( 2 )AINA ZA MANENO Maana ya neno: Neno ni silabi au mkusanyiko wa silabi zinazobeba maana. Kuna aina mbalimbali za maneno katika lugha ya Kiswahili. Ai…Dakika 10 za kusoma
3Mada kuu ya tatuFASIHI KWA UJUMLA Maana ya fasihi: Fasihi ni nini? Ni kazi ya sanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe wa msanii kwa hadhira. Hadhira ni wapokea…Dakika 2 za kusoma
4Mada kuu ya nneFASIHI SIMULIZI Maana ya fasihi simulizi: Fasihi simulizi ni nini? Ni sanaa au aina ya fasihi ambayo huwasilishwa kwa njia ya mdomo. Mfano: hadit…Dakika 6 za kusoma
5Mada kuu ya tanoUSIMULIZI WA HADITHI Usimulizi ni nini? Ni kuelezea mtu au watu jambo fulani ambalo limetokea katika muda uliopita , hivi karibuni, au zamani sana.Ku…Dakika 2 za kusoma
6Mada kuu ya sitaUANDISHI WA INSHA MAANA YA INSHA: Insha ni mfuatano wa tungo wenye mtiririko. Tungo hizi zinaeleza kuhusu mada fulani. Mawazo katika insha hupangw…Dakika 2 za kusoma
7Mada kuu ya sabaUANDISHI WA BARUA MAANA YA BARUA: Barua ni karatasi yenye ujumbe ulio katika maandishi. Uandishi wa barua ni kitendo cha kuandika barua. BARUA ZA…Dakika 2 za kusoma
8Mada kuu ya naneUFAHAMU Maana ya ufahamu; Ni kipengele katika taaluma ya lugha ambacho humpa msomaji au msikilizaji mbinu za kuelewa kitu alichokisoma au kusikiliza.…Dakika 2 za kusoma
